AAAHHH…hata mimi siwachwi kwa mataa!!!

Nasikia hii fununu ati watu walipewa challenge ya kuandika blogu zao (at least entry moja) in Sheng. Nimesema pia mimi wacha ni jaribu!!! (old school or not…it’s still sheng)

dscf2548.jpg

Manzee…..weekendi ilikuwa poa niasaje. Sato nililemewa kutoka bed mpaka sijui 4. Juu, previous night nilikuwa juu ya XBox niaje. Besides, nilikuwa nimesota niaje, so nilidecide kukaa kwa keja.

Sunday, ndio ilikuwa noma, juu nilikuwa nishapanga nitaenda kucheki London Marathon na kushangilia Kenya manzee. egm alienda Boston na akatuletea ma picha, jo. Zangu ziko home na nitazi upload kesho.

Nilirauka mapema kuenda Lando kucheki marathon na kusupport marunners wa home. Juu nilitoka home kama washaanza, nilidecide kuenda kwa finish line. Nilifika huko in good time, lakini kulikwa kumeshona na wasee vinoma. Luckily nipata space karibu na barrier. Nilijiseti na kamera ilikuwa redi kuchukua hizo masnaps. Weather ilikuwa noma. Nilitandikwa na jua niaje na hata sikuwa nimebeba maji!

Nilivumilia hapo for five hours nikichukua ma picha tuu. Lets just say….huku sirudi next year.

Timeini……masnaps nitaweka kesho hasapa! Bathen

Advertisements

13 thoughts on “AAAHHH…hata mimi siwachwi kwa mataa!!!”

 1. Ah, na bwana Lel akatupa dhahabu! Picha nitazingoja kwa hamu. Hata nami nafaa kuweka zile zingine nilizopiga.

  Hata nawe kikwetu umekikamata!

 2. Deadli! Naona REVOLUTION inaspread. mapropu mamii. Hii ni ngori maze. Kumbe ni wewe niliscope kwa kona moja ya tele yangu anasweat mabuckets akiwa ameshikilia camera moja bigi kaa zile za 1800 jo! Ebu zidevelp io ma-slide tuzikague moros. Io phosporus flash ili-bidisha ma faya waitwe wakae standby in case uwaburn wadhii saa ile ukipiga flash. Hehehehe!

 3. @egm….na bado!

  @aegeus…..imespread vinoma! LOL….niaje unanienjoy hivyo?

  @nusu nusu…..nikutry manzee! 😉

  @aizoh….mnoma wapi? Vile nilikuwa nimelemewa niaje! Nikujaribu tuu! Masnap ziko njiani!

 4. LOL! Waaaaaaaaa, kweli, naona umetry. Niaje after every sentence, niaje, niaje? Lakini uko poa bado, si mbaya – ungeleta muhadhara ukispit vitu hatuelewi na vile watu wameshaveka kiasi kutoka huko!!! Decode that 🙂

 5. @magaidi…..pia mimi hawa wadhii hawaku nishow hii risto. Maphoto nimesha weka.

  @maza…kweli nimetry. Manzee nimelemewa kudecode. hii word ni nini bana – wameshaveka???

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s